2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hili tukio limenifanya nicheke


View attachment 3622785
Nimerudia kama mara 3 kuangalia, inachekesha sana inanikumbusha tukio la Oscar Ligi ya china aliwabutua timu pinzani na mpira usoni kwa makusudi zaidi ya mchezaji mmoja mtiti ukazuka uwanjani.

Paraguay walicheza kihuni sana Mbappe alikuwa anapanic akaamua Bora awe anacheka tu , mechi nzima jamaa wanapiga rafu za kihuni na kitoto sana
 
Kwasababu kocha wao nim-Argentina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…