Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,691
- 130,524
Nilikuwa naangalia highlights ya mechi ya Argentina Vs Cape Verde nikakutana na hili tukio.
Hili tukio likanifanya nikumbuke criticism dhidi ya Ronaldo.
Ronaldo eneo hili akikosa goli anaitwa Mzee, hana kiwango, amechoka, hana talent, anaigharimu timu, mbinafsi.
Lakini Messi anaposhindwa kufunga nafasi ya wazi kama hii unakuta sifa anapewa kipa au mpira ukienda off target utasikia excuse za kwamba hana siku nzuri na vitu kama hivyo.
Hypocrisy is when the same incident happens, yet different opinions are provided.
Bado naendelea kuangalia.