Sawaparaguay walikuwa wanalinda sana ila cabo verde kacheza mpira
Sawaparaguay walikuwa wanalinda sana ila cabo verde kacheza mpira
Unafikiri Argentina nae mechi ijayo atarudi hivi kama leo.Hapa Argentina wamepewa home work lazima wataifanyia kazi.Egypt nadhani keshauona udhaifu wa Argentina
Acha tuone kama Egypt nae atatupa mechi Kali kama ya leo
Misuli ya kiuchumi tunayo!?Tunategeme Mo kwenye pita pita zake atatuletea wawili hapa
Basi afanye hivyoUnafikiri Argentina nae mechi ijayo atarudi hivi kama leo.Hapa Argentina wamepewa home work lazima wataifanyia kazi.
Mnawaita watoto wakati wengi wkenye kikosi wana miaka 29 kupanda juuOoh Verde watoto..ona jinsi wamefanya😀😀
Mhh hao Cape Verde hapo unaweza ukakuta mpaka sasa first eleven yao tayari wenye hela zao washaweka order.Tunategeme Mo kwenye pita pita zake atatuletea wawili hapa
Walitakiwa wafanyeje?Cape Verde walikuwa na nafasi nzuri tu ya kushinda hiyo mechi!
Basi tu strategy yao haikuwa nzuri.
Nafikiri lazima ukubali perspective ya kuingia kwenye mchezo kama under dog.Sasa mbona unaongea kama mnazi wa Simba au Yanga? Maana hao wako katika dunia yao, wanaamini wanastahili kushinda kila mechi.
Ugiriki alibeba taji la Euro 2004 akiwa hapewi nafasi kabisa na akabutua Ureno aliyekuwa mwenyeji mechi ya kwanza ya ufunguzi na ile ya FAINAL
Timu ikishafuzu kwenye mashindano sio ya kuipuuza hata kama daraja lao liko chini.
Siwezi kukubaliNafikiri lazima ukubali perspective ya kuingia kwenye mchezo kama under dog.
Argentina ajipange sanaIt’s not a World Cup game if Argentina have not stressed you 😂😂
Underdog Mkuu😀😀Mnawaita watoto wakati wengi wkenye kikosi wana miaka 29 kupanda juu
Hapo tulale tu hizi ndio timu za kutia watu majonzi😀Ghana kazi wanayo