Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Cape Verde mnaweza mkawa mmetoka ila mmeweza kukonga nyoyo za wapenda football
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Mpira umepigwa ukapigikaparaguay walikuwa wanalinda sana ila cabo verde kacheza mpira
Naenda kulala mkuu, tunaachia shift kwa wadau wengineNusu saa ijayo Ghana vs Colombia
Mbuzi anaendeleza ubabe😀😀Naenda kulala mkuu, tunaachia shift kwa wadau wengine
Ahamishe kibanda kama sio shughuli zake azifanyie online tena kwa usiri mkubwa kutoa location.Mganga kala hela.....😄😄😄
Hakuna cha kukonga nyoyo warudi wakavueCape Verde mnaweza mkawa mmetoka ila mmeweza kukonga nyoyo za wapenda football
🔥🔥🔥
Hawa Ghana 2010 walinifanya niache kuangalia Mpira kwa miaka 2..walinipa Maumivu sana..sanaa..Nitaangalia kipindi cha pili
Tuone kama watatupa mechi Kali kama hii ya ArgentinaGhana kazi wanayo
Colombia utadhani wanatumia madawa. Wanakimbia na kushambulia kama nyuki.Ghana kazi wanayo
Usiseme ukamaliza,bado mapemaKmmmk mashabiki wa Ronaldo wamekesha kuangalia game ya GOAT wakijua Argentina inatoka, mkalale sasa the next stop is Spain vs Portugal
Asanteni kwa kushiriki michuano ya WC tukutane tena 2030 mamaè
View attachment 3621855
Unapenda vita mkuu😂😂Hakuna cha kukonga nyoyo warudi wakavue
Kuna shida Gani huko?Afurika na imani za kishirikana na huyo tapeli wao wa ghana, ududu ni mwingi sana afurika.
#Hallelujah!!!