joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,386
- 41,494
Najua kaka.Sasa hapa hatupo makundi mkuu
Najua kaka.Sasa hapa hatupo makundi mkuu
✅✅Cape Verde wanapoteza umakini baada ya mapumziko mafupi, usishangae likapigwa la 3
AshachokHimid Mao alikuwa anachezea Taifa Stars, mpaka leo anaitwa. Imagine hata wao wangeng'ang'ania wale wachezaji.
Umesema vyema, arejee fainali ya 2022 vs FranceNakushauri baki na Spain mazima, Argentina haitaki mashabiki weak
😁😁Hadi natupa soda kwenye kitanda.
Vozinha whyyyy ?
Hakika mkuuNarudia tena, Argentina sio kwaajili ya mashabiki dhaifu
3-2 game on