Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,172
- 8,961
Mtoto halali na pesa
3-2
C. Romero 111'
3-2
C. Romero 111'
Swali la msingi mno, maana hawa watoto wamekuja na chainsaw wamepania kuangusha mbuyuArgentina wataulinda ushindi?
Wataulinda lisirudi.?Mtoto halali na pesa
3-2
C. Romero 111'
Ile nilikua nakula ugali ulikua mchungu kama ndimuUmesema vyema, arejee fainali ya 2022 vs France
Ile siku sitoisahau, yule Mbappe 🙌🙌Ile nilikua nakula ugali ulikua mchungu kama ndimu
Hii unakumbushwa kwenye hatua mbayaCape Verde wametupa mechi nzuri na kutukumbusha tusibweteke
Ni kama tulivyokumbushwa na Saudi Arabia WC ya 2022 pale Qatar
Potelea pote, vitani unabadili mbinu kutokana na adui anavyokujaHii unakumbushwa kwenye hatua mbaya
Ila mpinzani ni mpinzani tu mkuu, kikubwa na kuangalia namna gani utaweza kumuwinBahati mbaya ni kwa Cape Verde timu ndogo kukutana na timu kubwa