2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Huyu Alvarez afanye namna aende timu bora yenye mpira mzuri aokoe kiwango chake, hii tikotiko naona inampoteza amekuwa kama shiboli.


#Hallelujah!!!
 
Kama ule mpira wa kutenga alio ucheza Dibu, angechelewa tu walikuwa wanachomoa,hawa sasa ndio tunasema wamepambana.
 
Back
Top Bottom