Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,540
- 61,991
Wamechoka baada ya kukamia
Beki dk 90 hajapiga hata krosi mojaScaloni haoni huyu molina ni wa kwenda benchi?
#Hallelujah!!!
Cape Verde hawana huo ubavu washatepeta sikilizia chuma cha 3 tu hapo Messi anawarudisha katiArgentina watafute la tatu la sivyo story zitakuwa nyingine,madogo wanaweza wakapata zali.
Nazani umeona kaka wamechomoa.Cape Verde hawana huo ubavu washatepeta sikilizia chuma cha 3 tu hapo Messi anawarudisha kati