Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 654
- 1,448
Yatima hadeki fight oohh
Bwana tunatoraka skuli enzi hizo😀😀niliumia sana hiyo GameKitambo sana
Jamaa hana muda yupo kazini haelewiSura ya mbuzi diatta anafanya ubelgiji wanagombana, jamaa anakaba mpaka kivuli
Bongo hakuna career guidance kabisa. Na hawa Serengeti Boys waliofanya vizuri mwaka huu utashangaa hawapandishwi timu ya wakubwa, tunabaki na akina Mohammed Hussein.Huyo huyo
Ubelgiji ni mbovu au wamekutana na kitu kizito?😁😁 hivi ubelgiji na huyo kocha wamemuokotea wapi maana naona timu mbovu balaa hii
MsameheHuyu Diarra mpuuzi sana..hilo goli alilokosa lingekuwa la 3
Senegal hawakubahatisha kuchukua ubingwa Afrika.Ubelgiji ni mbovu au wamekutana na kitu kizito?
Magoli hayo akifunga Messi tunasema kaachiwa..mana hukoswi pale hata 0%Msamehe
Anakuwaga na msaada huyo.Sub ya Lukaku ni kuwasaidia Senegal. Ni kama cr7. Belgium ni kama wanacheza pungufu.
Ana assist yake kali sana goli la kwanzaHuyu Sadio Mane ilikuwa atolewe ila ndio hivyo tu.