Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
La piliBana naniliuuuuu Belgium wasisawazishe
Mimi kama mke wa Diarra nitaumia sana
La piliBana naniliuuuuu Belgium wasisawazishe
Mimi kama mke wa Diarra nitaumia sana
♥️♥️♥️♥️♥️ wachezaji wazuriii weusii wa kutelezaaaaa🥰🥰La pili
Wacha wapigwe😁😁 hivi ubelgiji na huyo kocha wamemuokotea wapi maana naona timu mbovu balaa hii
Vitu vyako♥️♥️♥️♥️♥️ wachezaji wazuriii weusii wa kutelezaaaaa🥰🥰
Amka mzee, hawa ni wamoto kama niniWacha nipumzishe mwili wa Allah, hapa hamna mechi.
Tunaungana asubuhi kuwasema Senegal kwa uzembe wataofanya second half.View attachment 3620226
Lion wa Teranga hao😀😀nyie Team yetu si ndio Taifa starsIvory Coast walikuwa na uwezo wa kufanya kama hawa ila upumbavu wao wa kutokuwa determined kwenye mambo ya msingi. Asante the Lion of Serengeti
Utani bhnaa😂😂Vitu vyako
Tunawagonga kingineRefa ashaanza kuwa jealous huyu.
Hivi wana historia gan kwenye hii michuano maana naona hawafikagi mbaliWacha wapigwe
Lukaku alifunga ile sub yake ya kwanza kwa kuweka mwili. Kocha akajua naye mtu, most of the time hana msaada ukiachana na bahati nasibu zake.Sub ya Lukaku ni kuwasaidia Senegal. Ni kama cr7. Belgium ni kama wanacheza pungufu.