2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nilikuwa nacheki trailer hapa la Spider-Man

Nimegundua Messi yuko tayari kumuacha Ronaldo achukue kombe la dunia kuliko kuongea hata neno moja la kiingereza


View attachment 3619913
😂😂😂 sasa ww mtu maisha yake yote amekaa maeneo hawatumii kiinge angejulia wapi.
Afu ukishakuwa na pesa mtu anaekuhitaji aje aongee na ww kwa lugha yako.
 
Kiapo chenu kweli ni cha damu
We kaza shingo tu, ila ukweli na ubora kuhusu jamaa unaujua.
Screenshot_20260701-123354~2.jpg
 
Back
Top Bottom