2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Winning mindset hawana. Unawaona Morocco wale, wazawa au waliolelewa nchini kwao kwenye kikosi kile ni wangapi?

Weusi wa Ufaransa huwa wanafunga vizuri tu. Ila hawa wa kwetu wana inferiority complex wao mradi wana kagoli kamoja au wamefungwa 2-1, 1-0, 3-2 wao wanaona sawa tu.
Kwa hiyo weusi wanajivunia kufa kiume ?
 
Winning mindset hawana. Unawaona Morocco wale, wazawa au waliolelewa nchini kwao kwenye kikosi kile ni wangapi?

Weusi wa Ufaransa huwa wanafunga vizuri tu. Ila hawa wa kwetu wana inferiority complex wao mradi wana kagoli kamoja au wamefungwa 2-1, 1-0, 3-2 wao wanaona sawa tu.
Wako na ufala sana. Hata hawaumizwi na kufeli.
 
Mbona watu wa hivyo wapo wengi sana tu.

Kama uliangalia series ya The Blacklist utagundua kuna jamaa mle anaitwa Harold Cooper ni mweupe kuliko hata wale wa Asian aliokuwa akifanya nao kazi

View attachment 3620109
Huyu bwana hua namchanganya na Chiwetel Ejiofol, naona wanafana
1782929350402.jpeg
 
Tutumie wafungaji waliozaliwa kwao au kulelewa kule.

Karibu wa Congo wanacheza nje........

​

Aaron Wan-Bissaka​

Recently relegated with West Ham, the Croydon-born full-back made three appearances for England’s youth teams. Ironically played as a striker for DR Congo against England in 2015.

Chancel Mbemba​

Former Newcastle defender and DR Congo’s captain, with over 100 international appearances.

Axel Tuanzebe​

Now at Burnley after coming through Manchester United’s academy. Made 12 England appearances across various age groups.

Arthur Masuaku​

Currently at Sunderland after leaving West Ham. Has made over 100 Premier League appearances.

Nathanael Mbuku​

Former French wonderkid, who made two senior appearances for Les Bleues. He declared for DR Congo two years ago.

Samuel Moutoussamy​

Mainstay of DR Congo’s midfield who will be tasked with stopping Jude Bellingham and co.

Noah Sadiki​

Sunderland midfielder tipped for big things and potentially on the move this summer.

Theo Bongonda​

Former Belgian youth international. Currently without a club, so playing with a point to prove in something of a problem position for DR Congo.

Gael Kakuta​

Was meant to be the next big thing when he arrived at Chelsea in 2007 in a controversial deal that saw the west London club serve a transfer ban. Rebuilt his career after leaving the Blues and is now 35.

Cedric Bakambu​

Veteran forward best remembered for his time at Villarreal. 21 goals in 72 games for DR Congo.

Yoane Wissa​

Far and away DR Congo’s best player and goalscorer. Has found form at the World Cup after a difficult season at Newcastle.
 
Back
Top Bottom