Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,693
- 130,535
Halafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.Hawa watu weusi wa France balaaa,aloo huu mpira wanapiga ni kufuru
Hapa ndio unakuja kugundua mshindi anapatikana kwa bahati.
Halafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.Hawa watu weusi wa France balaaa,aloo huu mpira wanapiga ni kufuru
Hawafiki matuta hawa lazima Sweden wapigikeHalafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.
Hapa ndio unakuja kugundua mshindi anapatikana kwa bahati.
Aaah aah hapana aisee lisitokee hili kabisa, hii burudani tutaitoa wapiHalafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.
Hapa ndio unakuja kugundua mshindi anapatikana kwa bahati.
Na iwe hivo,hizi raha za France ni tamuHawafiki matuta hawa lazima Sweden wapigike
Kaka acha kabisa, sijaona timu inapiga mpira kama France..Hawa watu weusi wa France balaaa,aloo huu mpira wanapiga ni kufuru
Dikteta kashawekaHapa goli naliona kwa Dembele
Usiulize makofi polisi..Hawafiki matuta hawa lazima Sweden wapigike