Ukisema french wanapiga mpila kufuru inatosha, hao weusi wanni tenaHawa watu weusi wa France balaaa,aloo huu mpira wanapiga ni kufuru
Sanaaa...hawa sweden nao kama mtibwa iliyo changamka changamkaUfaransa wanacheza mpira mtamu jamani
Sweden waliamza vizuri ila Ufaransa wamewafungia mziki mkubwa ambao hauendani na ukubwa wa shughuli.Sanaaa...hawa sweden nao kama mtibwa iliyo changamka changamka
Hawa ata mpira wakugombania wanaporwa sasa hiyo nayo inahitaji kipaji kweli...sii nguvu tuuSweden waliamza vizuri ila Ufaransa wamewafungia mziki mkubwa ambao hauendani na ukubwa wa shughuli.
Yaani Sweden kaanzisha ugomvi wa kisu, Ufaransa kaenda na Missiles.