2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mbappe alimpa pasi Olise ambayo ilikuwa ni hatari kukaribia goli ila ika deflect na kuwa kona.

Huu ni ujumbe anaotuma Mbappe kwa Perez kuwa combination yake na Olise ina impact
 
Top 4 ya wachezaji hatari wa muda wote :

1. Champions League Ronaldo.

2. World Cup Mbappe.

3. Copa Del Rey Messi.

4. Instagram Yamal.

FB_IMG_1782858627784.jpg
 
Back
Top Bottom