100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,786
- 38,622
Sweden wana kipa mzuri.
Kwa niniSo far dikteta hana bahati
Amegongesha nguzoKwa nini
Sanaa👐👐👐Anapambana sana
Hapa goli naliona kwa DembeleAmegongesha nguzo
Halafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.Hawa watu weusi wa France balaaa,aloo huu mpira wanapiga ni kufuru
Hawafiki matuta hawa lazima Sweden wapigikeHalafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.
Hapa ndio unakuja kugundua mshindi anapatikana kwa bahati.
Aaah aah hapana aisee lisitokee hili kabisa, hii burudani tutaitoa wapiHalafu unakuta wanakuja kutolewa kwenye penati.
Hapa ndio unakuja kugundua mshindi anapatikana kwa bahati.