Huyu kibonde kweliParaguay anapigwa sio chin ya goli 4, mjeruman hua akipata kibonde anakibonda kweli kweli
Naangalia channel 222Nani anaangalia game kupitia Dstv super sport hivi hawa watangazaji wanatangaza mpira au wanapiga story😂😂😂🙌
Huyu kiboParaguay anapigwa sio chin ya goli 4, mjeruman hua akipata kibonde anakibonda kweli kweli
Hawa kweli sio waafrica maana starting 11 na kocha wote wamekulia ulayaHate watch kama kawaida
View attachment 3618723
Ooh acha nihamie huko mie nilikua 224 hawa wazee sijui hawajala 😂😂Naangalia channel 222
Hata hao naona wamepooza tuOoh acha nihamie huko mie nilikua 224 hawa wazee sijui hawajala 😂😂
Mpira umepooza sanaHata hao naona wamepooza tu
Wewe si unapenda mechi zenye mabao mengiMpira umepooza sana
Nipe nikupe kuchangamke 🔥Wewe si unapenda mechi zenye mabao mengi
Usijali kipindi cha pili mabao yatakuwa mengi utachoka weweNipe nikupe kuchangamke 🔥
Inakera inakeraaaaaaaaHii mitimu ya kupaki basi alafu ata counter haiwezi inatupotezea tuu luku yetu.....
Kipindi cha pili ndo timu za hovyo zinapopigwagaSijui Germany watapataje goli kwa huu mchezo