Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,325
- 13,217
Ningependa iwe hivyo kwa sababu namkubali sana Ronaldo ila haitakuwa rahisi kihivyoPasina mashaka yoyote, - Portugal wanabeba
Ningependa iwe hivyo kwa sababu namkubali sana Ronaldo ila haitakuwa rahisi kihivyoPasina mashaka yoyote, - Portugal wanabeba
Hawa wakichukua kombe dunia haitapumzika kwa mikelele yao, nisingependa wafike fainali au kuchukua kombeEngland
Tunachukua hili kombe maalumu kwaMzee wa Portugal
Nabeba tena hilo kombe mkuuSwadakta kabisa...
Nilikuwa nacheki review ya game yenu vs Honduras hapa.
Anyway mna timu nzuri.
Hampati kitu nduguTunachukua hili kombe maalumu kwa
Cristiano ronaldo
Diogo jota
Andre silva
Save post #745 for future useHampati kitu ndugu
Sawa kakaSave post #745 for future use
Hawa wanaishia 16 bora haoNaona umeamua kumkatisha tamaa kabisa 😀😀
Senegal ana hasira Sana! Mashindano yakianza utajionea!Senegal juzi wamekipiga haswa vs USA
Mkuu team portugal hili kombe ni letuMtafia hapo uwanjani.