hahahah wacha ufala wewe mwenzio nilikuwa napambania uhai bwanaIcu ya mbunye au?
hahahah wacha ufala wewe mwenzio nilikuwa napambania uhai bwanaIcu ya mbunye au?
wacha tuone ssasaChampion ni Senegal hao Morocco wa mezani FIFA haiwatambui.
kabla ya kuandka nawasoma flashscore😅😅😅Mwamba unapatia kabisa kuwaandika 1😃
Unampa nafasi nani?Tangu kombe LA Dunia lianze ni nchi nane tu limebeba! Je safari hii bingwa atatoka kwenye hizo nchi 8?
1. Brasil (5)
2. Italy (hashiriki) (4)
3. German
4. France (2)
5. Spain (1)
6. English (1)
7. Uruguay (2)
8. Argentina
USA walishindwa kufurukuta mbele ya SenegalWenyeji Canada wametoka 1:1 dhidi ya Ireland tusubiri kuwaona U.S.A leo
Morroco awezi akatoboa kwa mbrazil mapema sana anakufaMapema out
Ngoja wakutane na wanaume Wakina hakimi watachapika vibaya sana hao manjano
FranceUnampa nafasi nani?
England mwisho wao ni nusu au roboMy second Team after England
Bado 05Haitojirudia kabisa