This world cup, African teams zitafika mbali Sana.For Sadio Mane...
This world cup, African teams zitafika mbali Sana.For Sadio Mane...
Hili kombe linarudi tena amerikaLatin America errors zimekwisha
SizaniThis world cup, African teams zitafika mbali Sana.
Na watatoboaI wish that too...
Ghana wako kundi gumu
Senegal kundi gumu.
Au ufaransa atabeba nini maana naona nae ana kikosi kizito aiseeWatafia hapo uwanjani lakini hakuna watakachofanya
Na nawaombea msivukeKwanza tukivuka robo tu!! Mtatukoma
Wakifosi wanatoboa paleI wish that too...
Ghana wako kundi gumu
Senegal kundi gumu.
Kabisa ya kinyama mno wananikumbusha pale mkali the weeknd alivyokuja na mixtape ya house of baloons afu akatupa mixtape mbili na album juu ya kuitwa kiss landNi noma sana wale watu!
Huwa wana consistency ya ajabu sana
Atafosi wale nao wana watu ujueeKwamba Ghana ampige Panama, atoe sare na England na Croatia
Jamaa anajua huyo akikaza namuona mbaliHalafu Senegal ampige Iraq, atoe droo na Norway apigwe na Senegal