hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,253
- 79,954
Mzee hakuna timu paleHawa Ureno wakikutana na timu ngumu kama France, Spain, England au Argentina watatia huruma
Hata wakikutana na japan lazima walie
Mzee hakuna timu paleHawa Ureno wakikutana na timu ngumu kama France, Spain, England au Argentina watatia huruma
Kufeli kwao ndio kunafanya waone wanaofaulu wanapendelewaMlishindwa Nini kumaliza wa kwanza katika kundi lenu !? 😆😆🤔
BTW naona jana flop guy kapiga brace kama kawaida yake 😆
Matesoooo, matesoo kuhangaikaaaMechi zinaanza rasmi leo sasa.
Ngoja waje na data za kujiokoteza🇦🇷 Lionel Messi breaks another record as he becomes the FIRST PLAYER EVER to score in 7 consecutive World Cup games.
Perfect free kick. 🎨
Ngoja waje na data za kujiokoteza
Hii rate Messi hawezi kuwa nayo hata akiwa benchi
😂😂😂 unakabia juu sana mkuuHii rate Messi hawezi kuwa nayo hata akiwa benchi
Acha tuwa-press hukohuko kwao ili wajichanganye tuwapige kamba😂😂😂 unakabia juu sana mkuu
Vitu napenda kuona 😂😂Acha tuwa-press hukohuko kwao ili wajichanganye tuwapige kamba