Wangemaliza wa kwanza kwenye kundi huenda wangecheza Robo fainali na Argentina....ila ngoja tuone mwelekeo waoHawajawahi kuwa watesi wetu wao ndio wanalzimisha league na sisi 😆
😄| BREAKING: Colombian goalkeeper had more touches than Ronaldo tonight.😳View attachment 3617327
😂😂😂Umeamua kutusagia kunguni mkuu
Changamoto kweli kweli. Saahz wanadai njia ya Argentina inaonekana kuwa nyepesi mnoo kwenye hatua zijazoExactly
Ni uvivu wa kuwajibikia makosa Yao so wanatafuta scape goat
Sindio 😄Nani kawazuia kuongoza kundi? Mngeshinda ndio mkajua hamjui
😀😀 ni kina nani hii wiki nilifungiwa ujueHujapanga kuwakataa wabaguzi?
Penadol mbona hayupo !? Hii ni batili
☺️☺️🚨🗣️ Zlatan Ibrahimovic: "Scoring 6 Non Penalty World Cup goals at 39 years of age is making me pinch myself. He's my clear favourite for the next Ballon d'or, i hope i'd get the opportunity to award him on the stage this time." (laughs)
Labda atangazwe na ile tume yetuPenadol mbona hayupo !? Hii ni batili
He's afraid 😄Hii nayo mbona hujaleta?
😆Labda atangazwe na ile tume yetu
😄Hii nayo una kumbukumbu nayo mkuu?
😆😆 The 🐐🚨 BREAKING: Cristiano Ronaldo has become the player caught offside the most times in FIFA World Cup history. 🇵🇹🔥
Ukweli usemwe 😄Umeamua kutusagia kunguni mkuu