2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Attachments

  • IMG_0693.jpeg
    IMG_0693.jpeg
    106.1 KB · Views: 8
Wanatupigia Kelele mara ooo Messi anakutana na timu nyepesi, wamekutana na Colombia ambayo imegongwa mara kibao na Argentina, ila wameshindwa kupata matokeo na Colombia wamedominate game mwanzo mwisho.
Sio ku- dominate tu wamefungwa na fifa wamewabeba goli likakataliwa

Pale hakuna team

Cr7 ataishia kuzifunga team za viwete like Uzbekistan

Leo nipo YouTube naona page zote Zina mcheka 😆😆😆😆

Eti I'm back I'm back

Jamaa wanamsema

My back my back 😆😆😆

Mwanaume unakuwa unapenda sifa kama mtoto wa kike
 
🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: 𝐌𝐄𝐒𝐒𝐈 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐒 𝐓𝐇𝐄 𝐖𝐎𝐑𝐋𝐃 𝐂𝐔𝐏 𝐑𝐄𝐂𝐎𝐑𝐃 𝐅𝐎𝐑 𝐌𝐎𝐒𝐓 𝐆𝐎𝐀𝐋𝐒 𝐒𝐂𝐎𝐑𝐄𝐃 𝐅𝐑𝐎𝐌 𝐎𝐔𝐓𝐒𝐈𝐃𝐄 𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐎𝐗

Messi scores his 6th goal from outside the box and surpasses Rivelino's record of 5 goals.
 

Wakongo man wasimtanie Goli mbombo Goli Mashine, wawe na adabu yani Mayele kufunga tu wanamuedit Bingwa wa Kombe hili.
 
Back
Top Bottom