Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,404
- 13,462
Dakika za jioniiiiiiiiiAisee hii maajabu sn,Austria chupuchupuuu
Dakika za jioniiiiiiiiiAisee hii maajabu sn,Austria chupuchupuuu
Yani huyo mfungaji huko kwao sijui itakuwaje akirejea?Dakika za jioniiiiiiiii
Kidooogo Germany wapo mkuu
Gooooooal Austria
Algeria 3 vs Austria 3
Dah!...ngumu sana kwao kunyanyua hili Kombe japo waliimbwa sana.Dah! Hii Ureno ni tia maji tia maji aise
NdioIna maana kwa timu za Africa aliyetoka ni Tunisia peke yake?
Hiyo rate Messi hawezi kuwa nayo hata akiwa benchi
Mlishindwa Nini kumaliza wa kwanza katika kundi lenu !? 😆😆🤔Thanks to this bald guy, who cleared the path
View attachment 3616677
Saana he never disappointAisee hakuna kitu kinachofurahisha kama kumshabikia Messi
😆😆🎯 Jana wamebebaa wazi wazi fifa inawabeba mamaeee goli la wazi limekataliwa ingekuwa Argentina ndio imepewa mbeleko tusingelala humuDah!...ngumu sana kwao kunyanyua hili Kombe japo waliimbwa sana.
Naona Ufaransa na Argentina wakienda tena fainali...
Hamna kitu humu 😆😆🤫
Jana walikuwa wana pelekewa moto Hadi aibu na mbeleko juu goli la Colombia la wazi limekataliwa watu wanalalamika kishenzi huko online
Hawa Ureno wakikutana na timu ngumu kama France, Spain, England au Argentina watatia hurumaJana walikuwa wana pelekewa moto Hadi aibu na mbeleko juu goli la Colombia la wazi limekataliwa watu wanalalamika kishenzi huko online
Tungehama sayari kabisa😆😆🎯 Jana wamebebaa wazi wazi fifa inawabeba mamaeee goli la wazi limekataliwa ingekuwa Argentina ndio imepewa mbeleko tusingelala humu