Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,368
- 10,381
Wakipata lingine?Si wamefuta machozi kidogo
Wakipata lingine?Si wamefuta machozi kidogo
Itakuwa wamesawazisha kwa kuwa still ni 2 kwa 1,Wakipata lingine?
Hakika imebalance vizuriMechi qali kwa leo
Sijui Spain wamepatwa na nini? Au ndo utaona wanaenda tu
Lakini tofauti ya magoli kwa algeria ni –2 kwa Austria ni 0 mpaka sasaAna point 4
Angalia msimamo wa best loser alafu urejee hapaHapa droo yoyote wanaingia wote Algeria na Austria.
Akifungwa Algeria anaingia Iran.
Akifungwa Austria goli 1 anaingia Austria
Wananyooshana hapa hakuna mnyongeKali sana 2-2
Iran arudi sasa akajiandae kwa vita,mbona Spain ni mwepesi mno?Ngoja iishe.
Natamani mfungwe...
Iran aingie.
Nyie Spain atawapiga kirahisi
From a Man😀😀This is it😄😄😄