adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,581
- 7,752
Tupo kanisani Missa ya kwanza Jamani..Messi de mbusii
Tupo kanisani Missa ya kwanza Jamani..Messi de mbusii
Wajanja sn hawa watu, et wakazuga kuwa yupo nje leo,hii ndo mind game sasa.Messi de mbusii
Goli sita match 3😀😀Wajanja sn hawa watu, et wakazuga kuwa yupo nje leo,hii ndo mind game sasa.
Daaah! Anazidi kutupa machungu mashabiki wa Cr7Wajanja sn hawa watu, et wakazuga kuwa yupo nje leo,hii ndo mind game sasa.
Haha 🤣🤣😂, ila unamfwatilia de mbusii badala uwe Bize na Luca na Mathayo na WakorintoTupo kanisani Missa ya kwanza Jamani..
Acha wapaki wanavuka sare hiiAlgeria wanapaki sasa
Wameridhika na matokeo yalivyo hadi sasaAlgeria wanapaki sasa
Kidooogo Germany wapo mkuuHii WC ni btn ARG na France tena.
Austria katoka kiutaniGooooooal
Algeria 3 vs Austria 2
Aisee hii maajabu sn,Austria chupuchupuuuFT
Algeria 3 vs Austria 3
Jordan 1 vs Argentina 3