Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,691
- 130,524
Ukweli naujua na nimeusemaAnacheza na maneno 😁
Ila ukweli anaujua
Ukweli naujua na nimeusemaAnacheza na maneno 😁
Ila ukweli anaujua
Na Fainali kabisa hata kubeba Kombe.Argentina ana nafasi kubwa ya kuvuka kufika robo fainali au hata nusu
Kote huko ana fumuaArgentina's possible path to Semi finals of the World Cup:
· R32: Cape Verde
· R16: Australia or Iran
· Quarterfinals: Algeria, Switzerland, Colombia, or Croatia
Inashangaza,mtoano wapo na Argentina hahMkuu Cape Verde wamemaliza wa Pili bana.
With no ushindi wowote
Thanks to this bald guy, who cleared the pathNa Fainali kabisa hata kubeba Kombe.
Jealous 😆Thanks to this bald guy, who cleared the path
View attachment 3616677
Bora useme wewe ofsaAmesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote
😆😆😆 Mtaumia rohoAmesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote
Vipi mkuu Hammaz Messi lakini yupo vizuriBinafsi Messi huwa simkubali, ila kwa vile ni shabiki wa mpira sikatai kwamba ni miongoni mwa wachezaji bora.
Amesafishiwa njia na Ratiba! Hakuna timu ngumu yoyote