Wacheze mpira kuonyesha uwezo waoHistoria ya kufika 16 bora ni ya kijinga,?
Kutofungwa na hispain ni ujinga..?
Ulitaka record gan mwanetu..?
Wacha mbabe Gattuso atoe povu!Italia wazidiwa na Bosnia and Herzegovina
Ilikuwa kabla ya mechi kuchezwaCape Verde na Belgium mbona wameingia bila u loser?
Check tena source yako mkuu
Muhimu matokeo swala la uwezo wataonesha kwenye ligi zaoWacheze mpira kuonyesha uwezo wao
Tupe update ya kuelewekaCape Verde na Belgium mbona wameingia bila u loser?
Check tena source yako mkuu
Washapita tayari hao best loserNatamani sana Simba wa teranga (Senegal) wapite wakijetete tena next stage
Sema probably watakipiga na england dahWashapita tayari hao best loser
Lolote linaweza kutokea mpira wa miguu huuSema probably watakipiga na england dah
FIFA leo ratiba yao haitupi nafasi kabisa ya kulalaLeo mida mibaya
Team ufaransa tujuane.