2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

1000825181.jpg

Kivumbi Cha Mtoano
 
Mi ni shabiki wa Ronaldo lakini siku zote nitazungumza ukweli pale unapodhihirika.

Ingawa napenda sana namna Ronaldo anavyofunga, jinsi alivyokuwa ana dribble, anavyoji position, upigaji wake wa free kick, ufundi wa kupiga penati na mambo mengine anayofanya katika ubora.

Lakini kila mtu anajua ukweli halisi kwamba Messi ni bora kuliko Cristiano Romero.
View attachment 3616509
Finally you're talking the truth 🔥🔥🔥🎯
 
Anaruka ruka tu na kubadilisha jina mwisho lakini moyo wake unajua ukweli ni kwamba Messi he's above all players
Aliamua kumtaja Cristiano Romero forward wa Argentina kwa makusudi au anacheza tu na maneno?....😃😃
 
Back
Top Bottom