Safi kabisa, mganga wao vipi mzeeCroatia ashapata goli
We acha tu ni kama azan zunguHaya mababu haya yanajua mpira bhana.
Mganga anaaungana na Elites ones ....Ronaldo Bingwa sasa wewe pingana na majini.We acha tu ni kama azan zungu
Mganga sio fala na yeye ni URENO.Safi kabisa, mganga wao vipi mzee
Unaambiwa kijiji hakikosi wazee hakika Croatia anajitoa anaitaka 32What a header..
Croatia 2 .Ghana 1
Aisee wamekaza haswaUnaambiwa kijiji hakikosi wazee hakika Croatia anajitoa anaitaka 32
Mganga kagangwa. Kawa hoi.Safi kabisa, mganga wao vipi mzee