Bado hajafuzuGhana wameshafuzu round inayofata
Hawana mpira wanaandika historia ya kijinga tuMkuu Cape Verde wamemaliza wa Pili bana.
With no ushindi wowote
Hizi kauli za namna hii zilikuwepo pia hata kabla ya Cape Verde hawajakutana na Spain,Cape Verde wanakutana na Messi RO32 wanaweza oga magoli. I'm happy for them nonetheless.
Hizi kauli zilikuwepo hata kabla ya Cape Verde hawaja cheza hata mechi moja,Cape Verde hawafiki mbali.