2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kipindi cha pili kimeanza katika mechi zote mbili za kukata na shoka za Kundi H, na Spain bado inaongoza 1-0 dhidi ya Uruguay wakati Saudi Arabia na Cape Verde wakiwa bado hawajafungana (0-0)
 
(GROUP H)
🇪🇸 Spain – Alama 7 (Imefuzu)
🇨🇻 Cape Verde – Alama 3 (Imefuzu)
🇺🇾 Uruguay – Alama 2 (Imetolewa)
🇸🇦 Saudi Arabia – Alama 2 (Imetolewa
 
Back
Top Bottom