Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,768
- 6,126
Dogo yupi pessi au😁😁😁bado huna raha. Unatamani hyo hart trick angepata huyu dogo ila ndo haiwezekani.
Dogo yupi pessi au😁😁😁bado huna raha. Unatamani hyo hart trick angepata huyu dogo ila ndo haiwezekani.
No sina noma kabisa na Dembele😁😁😁bado huna raha. Unatamani hyo hart trick angepata huyu dogo ila ndo haiwezekani.
Endelea kunishikiliaNo sina noma kabisa na Dembele
Noma yangu ni Messi, Lamine, na Barcelona.
Hata Raphinha, Pedri kwangu sina noma nao.
France akikutana na team yenye kasi kama japan au USA, anaweza akashangazwaMh hivi Kuna team ya kuwazuia France na Argentina kucheza Tena final mwaka huu sijaona na France ni bingwa mwaka huu
Nimechukua chatgpt uvivu wa ku type..Senegal bado inaendelea
Mfaransa huyo...😃😃Mbape ni mcameroon kabisa.
Ulaya wanatuharibia wat
Ufaransa ni timu kweli kweli.... hatari sana
Hizi timu nahisi zinaweza Kutana tena fainali.Mh hivi Kuna team ya kuwazuia France na Argentina kucheza Tena final mwaka huu sijaona na France ni bingwa mwaka huu
Weeeeh nani kasema????Nasikia wewe ni team Iraq...