Here we gooo..Dah!! France 3 - Norway 1
Hii World cup naona Hat-trick zitakua nyingi au top scorer atakua na goli nyingi zaidi, tofauti na WC zilizopita.
Hao France nao ndio wamoto. Zaidi ya hapo Spain sina imani nayo sana. England nao si wa kubeza.Ngoja wakutane na 🇳🇱 hatua ya mtoano uone nyasi zitakavyoumia.
Ashapigwa la tatu hukuKwani France hajui uwezo wake akawaamzisha wakina kante? Usijpojipima na France hii bora utajipima na nani
Yeahh vijana wamekuja Motoo balaaHii World cup naona Hat-trick zitakua nyingi au top scorer atakua na goli nyingi zaidi, tofauti na WC zilizopita.
Pia red card zitakua nyingi zaidi,naona Iraq kuna mtu kisha kula red.Yeahh vijana wamekuja Motoo balaa
Huyu dembele na mguu wake wa mavi uo ni hatari
Yeah Rebin alipewa red mapema tu alimvuta shati manePia red card zitakua nyingi zaidi,naona Iraq kuna mtu kisha kula red.
😁😁😁bado huna raha. Unatamani hyo hart trick angepata huyu dogo ila ndo haiwezekani.
Nasikia wewe ni team Iraq...Yeah Rebin alipewa red mapema tu alimvuta shati mane
England hatari Sana, coach wao ni mzuri watafika mbali.Hao France nao ndio wamoto. Zaidi ya hapo Spain sina imani nayo sana. England nao si wa kubeza.