2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mi ni shabiki wa Ronaldo lakini siku zote nitazungumza ukweli pale unapodhihirika.

Ingawa napenda sana namna Ronaldo anavyofunga, jinsi alivyokuwa ana dribble, anavyoji position, upigaji wake wa free kick, ufundi wa kupiga penati na mambo mengine anayofanya katika ubora.

Lakini kila mtu anajua ukweli halisi kwamba Messi ni bora kuliko Cristiano Romero.
View attachment 3616509
Line ya mwisho umekosea bana
 
Nilikuwa najua we ni hater mkuu, ila hapa umeeleza uhalisia.
 
Back
Top Bottom