Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,832
- 7,459
Kocha ana mambo ya ajabu ajabu sana norway inabebwa na watu wawili tu tofauti na hao basi inakua sawa na TunisiaHawa Norway wanacheza kama watoza ushuru wa Kinondoni bhana
Kocha ana mambo ya ajabu ajabu sana norway inabebwa na watu wawili tu tofauti na hao basi inakua sawa na TunisiaHawa Norway wanacheza kama watoza ushuru wa Kinondoni bhana
Kaamua awapumzishe kwajili ya 32 boraKocha ana mambo ya ajabu ajabu sana norway inabebwa na watu wawili tu tofauti na hao basi inakua sawa na Tunisia
Sasa itakua vp kabla ya hatua ya 32 halaand akatiwa jerahaKaamua awapumzishe kwajili ya 32 bora
Africa ipi bwasheeWavuvi maji shingoni, ufaransa ndio timu ya Africa yenye uwezo zaidi
Hahahaha ngoja tuone akiingia kama atabadiliHalaand anasonya nankutema mate pembeni tu
Mjinga natamani sana msimuu ujao atue gunnersHahahaha ngoja tuone akiingia kama atabadili
Iraq anafanya sub anatoa forward anaweka defenderSenegal lapiliiiiiiiiiiiiiii
Bado chuma mbili walau wawe kwenye nafasi nzuri ya best loserSenegal lapiliiiiiiiiiiiiiii