Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,838
- 7,471
Haiwezi kua hivyoHizi timu nahisi zinaweza Kutana tena fainali.
Haiwezi kua hivyoHizi timu nahisi zinaweza Kutana tena fainali.
Uhakika au siyo...Wachezaji wanarudi uwanjani kukipiga kipindi cha pili
Ufaransa ana nafasi kubwa ya kufika fainali tena na kuchukua lakini Argentina hafiki fainali msimu huuUfaransa ni timu kweli kweli.... hatari sana
Yeah Ufaransa kushinda uhakikaaaaa.. wako vyediiiiUhakika au siyo...
Hii France mbona inaimbwa hivyo?...🤔🤔Mh hivi Kuna team ya kuwazuia France na Argentina kucheza Tena final mwaka huu sijaona na France ni bingwa mwaka huu
Shukrani sana mkuuGreatest Of All Time & uran
Ingekua inawezekana ningewaombea mpewe Platinum Membership, hua mwajitahidi sana kuleta Updates kwenye nyuzi zinazohitaji Updates.
Salute kwenu🫡
Mungu wa France katenda 😊😊Huyu mpigaji wa tuta vp?
Daah haya bhanaMungu wa France katenda 😊😊
Halaand anasonya nankutema mate pembeni tuMungu wa France katenda 😊😊