Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
All the best Franceee
All the best Franceee
Mambo yanaenda haraka haraka hivi...All the best Franceee
Hatari sana..Mambo yanaenda haraka haraka hivi...
Hawa iraq wanacheza kumkomoa senegal au wametumwaWashakazwa tena
Hafungi, hata yy mwenyewe atajikabaAtafunga hawawezi kumkaba
Ashafuzu huyu na anaujua uwezo wa FranceKocha wa Norway aliwaza nini kuwaweka machine bench? Naona atapigwa nyingi.
Hawa Senegal wana nafasi ya kuadvance? Coz hata wakishinda mechi na Iraq wanakua na point 3 tu.Dk 23
Norway 1
Ufaransa 2
Senegal 1
Iraq 0
Hydration Break
Hata apate goal mia Belgium or congo wakishinda yy anabaki,.Senegal ajitahidi apate goal 3+ leo ili katika zile team nane zinazopita kama best looser kutoka kwenye team 12 zilizoshika nafasi ya tatu na yeye awepo
Dah!! France 3 - Norway 1
Kwani France hajui uwezo wake akawaamzisha wakina kante? Usijpojipima na France hii bora utajipima na naniAshafuzu huyu na anaujua uwezo wa France