2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Don't underate England tuna timu.
I don't, Tatizo la England miaka yote ni kutokuwa na Spirit ya kupambana mpaka tone ya mwisho hata kama wana wachezaji wazuri hawana Pumzi kubwa na wapo soft....Waislam wanaita JIHAD

Hata walivyopoteza kwa Italy that time, ni kwamba Italy walipambana deadly kuliko England

Tazama timu kama Uruguay au Argentina utanielewa 🤣
 
Sawa sawa.
Mara hii Waingereza wanalitaka kombe
 
Back
Top Bottom