Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,815
- 7,425
Apo neymar hatokua na maajabu msimu huukazi ipoooo
Apo neymar hatokua na maajabu msimu huukazi ipoooo
si ulisema ameshalogwa? atakuwa majeruhi wakati wote?Apo neymar hatokua na maajabu msimu huu
Yule ukichana na kufanyiwa matambiko hayo waliyofanya walozi wa peru jamaa soka la sasa haliwezi tenasi ulisema ameshalogwa? atakuwa majeruhi wakati wote?
Hii england inaweza shangaza kiasi
nakubaliana sana na wewe mkuu.Yule ukichana na kufanyiwa matambiko hayo waliyofanya walozi wa peru jamaa soka la sasa haliwezi tena
Goma kali 👊 lakini ndy timu itakayo aga mashindano mapema sana 🏴
Muda utaongeaGhana imekosa mchezaji wa kuleta matokeo wakati wowote hakuitwa kwasababu ya majeraha
View: https://www.instagram.com/reel/DZDsi9_Oyeu/?igsh=MXIyNTYxN2piMHhibg==
Hawa jamaa watakuwa na vibe lao kama lao