kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,488
- 18,365
Kuna timu inaitwa Curacao nyingine Haiti au Jordan; zitapigwa kama ngomaKatika makundi kuna timu unaona kabisa kupata ata point moja kwao utakua ndo ushindi hasa
Kuna timu inaitwa Curacao nyingine Haiti au Jordan; zitapigwa kama ngomaKatika makundi kuna timu unaona kabisa kupata ata point moja kwao utakua ndo ushindi hasa
Curacao game ya kwanza anakutana na GermanyKuna timu inaitwa Curacao nyingine Haiti au Jordan; zitapigwa kama ngoma
Watachezea sanaCuracao game ya kwanza anakutana na Germany
Haiti atakua na brazili huyu Jordan ni mgeni kwenye mashindano lakini pia panama wasipomfumga ghana nao hawaondoki na pointWatachezea sana
Wote hao watachapwa, Panama wanaweza kushikilia sana KambaHaiti atakua na brazili huyu Jordan ni mgeni kwenye mashindano lakini pia panama wasipomfumga ghana nao hawaondoki na point
Panama alipigwa na england 6-1 na awamu hii pia anakutana nae apo kumbuka england kwa Croatia tegemea sare ila kwa panama na ghana watakubari KANE anaanza kuhesabu magoli yuleWote hao watachapwa, Panama wanaweza kushikilia sana Kamba
Mwanetu unaichukuliaje Ghana?Panama alipigwa na england 6-1 na awamu hii pia anakutana nae apo kumbuka england kwa Croatia tegemea sare ila kwa panama na ghana watakubari KANE anaanza kuhesabu magoli yule
Hiyo ni ndoto Ghana awezi kumfunga CroatiaMwanetu unaichukuliaje Ghana?
Hawa wanaenda hadi 16 bora, tunza hii risit.
Panama anapigwa na Ghana, Ghana ana droo na England, anamfunga Croatia
Timu France ✌️✌️✌️✌️
Asipomfunga atadroo naeHiyo ni ndoto Ghana awezi kumfunga Croatia
WoyooooTimu France ✌️✌️✌️✌️
Mzee wa kupokea taarifa na kushukuru
England ndy timu kubwa itakayo aga mashindano mapema sanaWana England tupo hapa
Hivi Croatia unaichukuliaje mkuuAsipomfunga atadroo nae
Nasema Ghana ataenda hadi best 16
Duuuh anachekesha sana mkuu kwa kikosi gani alicho nacho hadi afike finalKwahiyo atapigwa na Ghana, Panama na Croatia?
Naona wakicheza Fainali na Ufaransa