Hata mimi nimeandika huku natetemeka...Sio rahisi
Senegal na Norway itachezwa saa 9 usiku siyo saa 9 alasiri.game nzuri ni za saa mbili usiku, saa nne na saa tano at least unakaa unatizama bila shida.
Ghana na Panama game yao ya saa nane usiku.
alafu kuna Senegal na Norway mechi muhimu sana inachezwa saa tisa alasiri.
Au Cape verdeLeo kuna mdau amesema kabisa Japan wanabeba
wana wachezaji wazuri lakin hamna kituEngland at Bottom aah
Haijalishi kuna game zinakua na radha yake mkuu hiyo ya senegal unaicheki uku unakula dakuLate midnight kabisa.
View attachment 3601232
Wameua Afrika Kusini