Egypt wako nafasi nzuri yakufanya vizuriWakilisha toka wanangu hapo natafuta chimbo, hebu niwekee kikosi cha mabingwa wa Afcon
Nawakubali sana watu wa kazi hawa,
Kunyooka kwa kikosi sio ishu sana timu pinzani inaweza sababisha injuries karibia robo kikosi kwa kulazimisha sarenimepitia kazi ya Spain, wanakikosi kilichonyooka sana
Egypt huwa siwaamini kabisa linapokuja suala la world cup, wanaishi kwa figisu sanaEgypt wako nafasi nzuri yakufanya vizuri
Nawakubali sana watu wa kazi hawa,
Lions of teranga hapo mfaransa anawaza droo tu asiumize kikosi akashindwa kufika ata nusuGoalkeepers
- Édouard Mendy – Al-Ahli (Saudi Pro League)
- Mory Diaw – Le Havre (France)
- Yehvann Diouf – OGC Nice (France)
Defenders
- Krépin Diatta – AS Monaco (France)
- Antoine Mendy – OGC Nice (France)
- Kalidou Koulibaly (Captain) – Al-Hilal (Saudi Pro League)
- El Hadji Malick Diouf – West Ham United (England)
- Mamadou Sarr – Chelsea (England)
- Moussa Niakhaté – Lyon (France)
- Moustapha Mbow – Paris FC (France)
- Abdoulaye Seck – Maccabi Haifa (Israel)
- Ismaïl Jakobs – Galatasaray (Turkey)
- Ilay Camara – Anderlecht (Belgium)
Midfielders
- Idrissa Gana Gueye – Everton (England)
- Pape Gueye – Villarreal (Spain)
- Lamine Camara – AS Monaco (France)
- Habib Diarra – Sunderland (England)
- Pathé Ciss – Rayo Vallecano (Spain)
- Pape Matar Sarr – Tottenham Hotspur (England)
- Bara Sapoko Ndiaye – Bayern Munich (Germany)
Forwards
- Sadio Mané – Al-Nassr (Saudi Pro League)
- Ismaïla Sarr – Crystal Palace (England)
- Iliman Ndiaye – Everton (England)
- Assane Diao – Como (Italy)
- Ibrahim Mbaye – PSG (France)
- Nicolas Jackson – Bayern Munich (Germany)
- Bamba Dieng – Lorient (France)
- Chérif Ndiaye – Samsunspor (Turkey)
wako kwenye kundi gumu kidogo, France and Norway watawapa changamoto sana.Nawakubali sana watu wa kazi hawa,
kuna NorwayLions of teranga hapo mfaransa anawaza droo tu asiumize kikosi akashindwa kufika ata nusu
Norway japo kwampiga Sweden 3_1 game ya juzi na halaand alikua jukwaani akitazama ila norway kwa senegal atataga ata akipata ushindi basi ni kwa tabu sanawako kwenye kundi gumu kidogo, France and Norway watawapa changamoto sana.
Norway kuna mataifa akikutana nayo lazima atangaze maandamano kabla ya game senegal sio wa kurukia tukuna Norway
tutaona mbungi la maana sana mkuuNorway japo kwampiga Sweden 3_1 game ya juzi na halaand alikua jukwaani akitazama ila norway kwa senegal atataga ata akipata ushindi basi ni kwa tabu sana
na wanamashabiki haswa. umeona post za mdau hapo juuNorway kuna mataifa akikutana nayo lazima atangaze maandamano kabla ya game senegal sio wa kurukia tu
Kikosi kimekamilika mtanange utakuwa wa kukata na shoka dhidi ya frace maana wote weusiGoalkeepers
- Édouard Mendy – Al-Ahli (Saudi Pro League)
- Mory Diaw – Le Havre (France)
- Yehvann Diouf – OGC Nice (France)
Defenders
- Krépin Diatta – AS Monaco (France)
- Antoine Mendy – OGC Nice (France)
- Kalidou Koulibaly (Captain) – Al-Hilal (Saudi Pro League)
- El Hadji Malick Diouf – West Ham United (England)
- Mamadou Sarr – Chelsea (England)
- Moussa Niakhaté – Lyon (France)
- Moustapha Mbow – Paris FC (France)
- Abdoulaye Seck – Maccabi Haifa (Israel)
- Ismaïl Jakobs – Galatasaray (Turkey)
- Ilay Camara – Anderlecht (Belgium)
Midfielders
- Idrissa Gana Gueye – Everton (England)
- Pape Gueye – Villarreal (Spain)
- Lamine Camara – AS Monaco (France)
- Habib Diarra – Sunderland (England)
- Pathé Ciss – Rayo Vallecano (Spain)
- Pape Matar Sarr – Tottenham Hotspur (England)
- Bara Sapoko Ndiaye – Bayern Munich (Germany)
Forwards
- Sadio Mané – Al-Nassr (Saudi Pro League)
- Ismaïla Sarr – Crystal Palace (England)
- Iliman Ndiaye – Everton (England)
- Assane Diao – Como (Italy)
- Ibrahim Mbaye – PSG (France)
- Nicolas Jackson – Bayern Munich (Germany)
- Bamba Dieng – Lorient (France)
- Chérif Ndiaye – Samsunspor (Turkey)
Africa inaweza kuwakilishwa na Morocco, senegal au Egypt hawa waliobaki hawa labda kidogo ivory coast kwatika kundi lake anaweza fanya jambotutaona mbungi la maana sana mkuu
mbungi litapigwa haswa. hawa ndugu wa damu kabisa!!Kikosi kimekamilika mtanange utakuwa wa kukata na shoka dhidi ya frace maana wote weusi
Na France akijichanganya anabugia vizuri japo naye kikosi chake kinatisha sanambungi litapigwa haswa. hawa ndugu wa damu kabisa!!
Japo nina wasiwasi na huu mpira ingizo jipya la kisasa huu mpira unaweza kutumika kuhujumu baadhi ya magoli au kupotezwa uelekeo pindi unapopigwana wanamashabiki haswa. umeona post za mdau hapo juu
Mh France katika kundi lake hakuna wa kumtoa hapo labda kama akiwa amefikisha alama sita na mchezo mmoja mkononi anaweza gawa sare au ushindi kwa taifa la mwisho katika gameNa France akijichanganya anabugia vizuri japo naye kikosi chake kinatisha sana