Kakosaje na mpira unaendelea?Ronalfo kakosa hattrick hap
Si ndo hapo vichwa panzi hawaKakosaje na mpira unaendelea?
Ni swala la mda tuuJamaa anaondoka na mpira leo
Vipi mkuu tukufanyie sub au ?Uzbekistan?? 😂😂😂
Timu boya kama Uzbekistan na Curacao sizipendi mimi za kuletea watu rekodi ionekane WC ni rahisi. Waweke vigezo vigumu na Asia na Caribbeans wawape timu chache. Asia wabaki kina Japan na Asia hawa wanywa uji wakacheze judo.Timu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Mimi ningekua hapo ureno sasahivi Nina kamba 4Vipi mkuu tukufanyie sub au ?
KabisaTimu boya kama Uzbekistan na Curacao sizipendi mimi za kuletea watu rekodi ionekane WC ni rahisi. Waweke vigezo vigumu na Asia na Caribbeans wawape timu chache. Asia wabaki kina Japan na Asia hawa wanywa uji wakacheze judo.
Ukiwa na umri gani Master ?.Mimi ningekua hapo ureno sasahivi Nina kamba 4
Haya
1-0
Hata nikiwa na miaka 50Ukiwa na umri gani Master ?.
Hapo magoli ya uganga hakuna ujue.
Hiyo itakuwa TASSAF sio mpira tena.Hata nikiwa na miaka 50