Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Mbuzi pori bhana😂😂
Yaani wenzake wanagoli 5 kwa 4 yeye ameenda kushangalia utadhani kabeba wodi cupKeshafunga tutakoma leo🤣
Leo tutakomaHatimaye CR7 kaanza kutufunga mdomo....🤐🤐
Kipofu kaonaMbuzi pori bhana😂😂
Tutakoma mwaka huu🤣🤣🤣Hatimaye CR7 kaanza kutufunga mdomo....🤐🤐
Sio mbaya sana nae afute chozi....😃😃😃...ameanza mchakamchaka wakati wengine wameshachanganya...Tutakoma mwaka huu🤣🤣🤣
😁😁😁😁Mwenyezi Mungu wabariki na wengine utaniuaa kwa furaha hizi
View attachment 3614193
Poa mkuu, tunasubiri masimango ya goli la kikongwe😂😂😂😂Mko poa?