Kabisaa 100%Ureno wana nafasi ya kushinda goli hata 10 leo na Ronaldo anaweza piga goli hata 5
Kabisa.Hii timu ya Uzbekistan napata namba tena nachagua namba yoyote nazima.
Tulia bila hii timu Ronaldo atafunga lini sasaTimu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Watapigwa nyingi kwa mojaWamepata goli...