Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,564
Naona wachawi wengi wamefurahishwa na hii post yakoIla aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana 😢
Naona wachawi wengi wamefurahishwa na hii post yakoIla aliyetuambia kuwa Ureno wanaweza beba kombe.
Alituonea sana 😢
Mpaka msemeeeMate mji mzima
Sasa hata wewe ukikutana na uzbeki si unapiga hata 2 aiseeHiyo itakuwa TASSAF sio mpira tena.
Kiishe kama kilivyoanzaKipindi cha pili kimeanza.
Hhhh, I said the sameDogo angeishusha kidogo tu, lingekuwa bonge la goal
Timu za kuweka rekodi ya magoli hizo...😃😃😃Timu boya kama Uzbekistan na Curacao sizipendi mimi za kuletea watu rekodi ionekane WC ni rahisi. Waweke vigezo vigumu na Asia na Caribbeans wawape timu chache. Asia wabaki kina Japan na Asia hawa wanywa uji wakacheze judo.