Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Kipindi cha pili Ronaldo asirudi apumzike
Na atafungaBado moja tuwazibe mdomoooo
Hawatamtoa huyoKipindi cha pili Ronaldo asirudi apumzike
Achaweeeee matobo tu gundu lishafutwaBado moja tuwazibe mdomoooo
Huyu akibakia kipindi cha pili atawapa watu lawamaYuko hoi haswaaa
Timu andunje 😂Bado moja tuwazibe mdomoooo
NakaziaRonaldo anafunga timu iliyo nafasi ya 50 hatusemi. Mesi atacheza na timu ipo nafasi 68. Hatutaki fujo
View attachment 3614214
Nasikia tangu 2022 ndo anafunga leoHawatamtoa huyo
Wanataka naye afunge hat trick ili watuzibe midomo🤐🤐
Aache tamaa mbili ni nyingi sana kwake
Mtataseka sana 😀 ni kwanza game mbiliHawatamtoa huyo
Wanataka naye afunge hat trick ili watuzibe midomo🤐🤐