NdioKwahiyo wamepata nafasi kutokea Asia na siyo Ulaya mashariki?
Italia wazembe wale vijana..Timu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Huwaonei huruma hao wanapigwa hawapati hata goli moja?Huruma gani unayozungumzia wewe
Duh!..Goat tayari uko
Tusubiri labda watabadilikaSasa hawa wakikutana na timu nzuri itakuwaje?
VuzuriNdio