Kila la kheri kwaoAlgeria bado haja advance next round
Atakutana na Austria mechi ya mwisho,wote wana point 3
Jordan mechi ya mwanzo kafungwaAlgeria akaze ili Jordan wasisawazishe ndomana nasema wangeongeza goli 1
Wakitoka draw je nani atatoka??
Safi🤗Hakuna habari zaidi ya Lionel Messi kuzidi kufurahisha wapenzi wa soka tu, huku wengine wakiumia.
Naona hawajanielewa.Argentina wapewe tu kombe lao 😁😁
😁😁😁record ambazo goat wako ameshindwa kuzifikia hata kuzikaribia.Hizi rekodi zilizotengenezwa kwa miaka 16 ni rekodi ambazo Mbappe atazifukia kwenye single tournament na hakuna media itayompa mileage.View attachment 3613473
Ureno mpaka sasa timu nzima inagoal mojaKufunga magoli sio sawa na makalio kusema kila mtu anayo.
Labda waliibeUnasemaje kuhusu Ronaldo na mashindano haya?
Team Ronaldo wanaamini hili Kombe mwaka huu litaenda Ureno,😂
Argentina inacheza kwa ajili ya Messi wakati Portugal wanacheza kwa ajili ya Messi😁😁😁record ambazo goat wako ameshindwa kuzifikia hata kuzikaribia.